Mwanza, Pius M.; Ngesu, Sarah N.; Musyoka, F. M.
(International Journal of Advance Research and Innovative Ideas in Education (IJARIIE), 2026)
Utafiti huu ulinuia kutathmini nyimbo za Kiswahili zinazotumika katika shule za chekechea kama nyenzo ya ufundishaji katika kata nne za Kaunti ya Makueni ambazo ni Mukaa, Kilungu, Kathonzweni na Makueni. Kaunti ya Makueni ...