Changamoto na faida za kufundisha kiswahili mkondoni katika vyuo vikuu vya Kenya utangulizi

Show simple item record

dc.contributor.author Kawira, Rhoda
dc.contributor.author Ngesu, Sarah N
dc.contributor.author Chomba, Esther N
dc.date.accessioned 2025-09-02T08:36:23Z
dc.date.available 2025-09-02T08:36:23Z
dc.date.issued 2025-08
dc.identifier.citation EPRA international journal of multidisciplinary research (IJMR), volume 11, Issue 8, 2025. en_US
dc.identifier.issn 2455-3662
dc.identifier.uri https://eprajournals.com/IJMR/article/17417/abstract
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/xmlui/handle/123456789/8143
dc.description.abstract Utafiti huu ulilenga kutathmini Changamoto na Faida za Kufundisha Kiswahili Mkondoni katika Vyuo Vikuu vya Kenya. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya mawasiliano iliyoasisiwa na wanaisimu Firth, Halliday na Hymes mnamo mwaka wa 1980. Wanaisimu wengine kama vile Naom Chomsky walichangia na kuendeleza nadharia hii. Mbinu za ukusanyaji data zilizotumika ni mahojiano na ujazaji wa hojaji. Waliotoa taarifa waliteuliwa kimakusudi ili waweze kusaidia katika kupata data iliyohitajika. Wanafunzi wanaosoma somo la Kiswahili wa mwaka wa kwanza, pili, tatu na nne wanaofanya kozi ambazo walimu hutumia teknolojia kufundisha walihusishwa. Hii ni kwa sababu si kozi zote zinazofundishwa mkondoni. Wanafunzi wa uzamifu na uzamili, ambao wanafanya kozi ya Kiswahili, pia walihusishwa. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kitaamuli na kitakwimu na kuwasilishwa kwa michemihimili na micheduara. Walimu watano wanaojihusisha na ufundishaji wa Kiswahili mkondoni pia walihusishwa katika kutoa habari.Hii ni kwa sababu wako na tajiriba katika ufundishaji huo. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.publisher EPRA international journal of multidisciplinary research (IJMR) en_US
dc.subject Masomo en_US
dc.subject Mkondoni en_US
dc.subject Teknolojia en_US
dc.subject UVIKO 19 en_US
dc.title Changamoto na faida za kufundisha kiswahili mkondoni katika vyuo vikuu vya Kenya utangulizi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account